Aina ya Gari: Toyota Coaster,
Hali yake: Imetoka Japan & imetumika Tanzania kwa root ya Dar - Bagamoyo,
Uwezo: 4160 CC, Manual, Inatumia diesel, Milango 2, Engine type: 1HZ, seating capacity 21,
Mwaka: 2000 model,
Rangi: Nyeupe,
Bei: 17,000,000 TShs, Inapatikana Dar es salaam-Boko,
Kuipata: Piga au sms kwenda 0756 41 75 04
0 maoni:
Chapisha Maoni