ifozamudi

Advertisement

Jumamosi, 25 Juni 2016

nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam

Imechapishwa na Unknown


 Ina nyumba mbili ndani kubwa na ndogo na zote zipo ndani ya fensi na kila moja inajitegemea luku yake na zote mbili system ya maji inafanya kazi safi kabisa na ndani kuna kisima cha maji cha umeme na kuna matanki mawili moja lina lita 5000 na lingine lita 2000 na maji yake yananyweka hayana chumvi.Nyumba kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room kubwa, wakati nyumba ya nyuma ina chumba sebule na jiko pamoja na choo chake.Bei ni shilingi milioni 100 tu. Madalali hawatakiwi tafadhaliUkiihitaji mpigie Msafiri Kesi namba 0657040282

0 maoni:

Chapisha Maoni