ifozamudi

Advertisement

Jumamosi, 25 Juni 2016

NYUMBA INAUZWA IRINGA

Imechapishwa na Unknown
Nyumba  hii   ipo katika hali nzuri  na  kuna  wapangaji wanaishi ipo Mkimbizi kata ya Mtwivila mjini  Iringa umbali wa Km 4 kutoka barabara kuu ya Iringa-Dodoma 
Sifa  zake> Ina vyumba  vitatu  vya kulala, choo cha  ndani, stoo,jiko na Sebule kubwa>Hati  ipo nyumba   ipo na  vielelezo vyote nyeti vipo>Eneo ambalo  limejengwa ni alisimia 30  ya  uwanja > uwanja una  ukubwa wa Skwea mita 525 >Maji na umeme  upo> Barabara inafika hapa nyumbani Nyumba  hii  ilikukuwa ikiuzwa  Tsh milioni 60 sasa ni TSh 35  maelewano  yapo> Nyumba  ipo  eneo la Mkimbizi Bima  katika Manispaa ya  Iringa jirani na kituo cha  Yatima  cha  Deily Bread Kwa mawasiliano piga simu namba  0754 026 299/0789281030/0712750 199

0 maoni:

Chapisha Maoni