ifozamudi

Advertisement

Jumamosi, 25 Juni 2016

NYUMBA INAUZWA MAGEREZA UKONGA JIJINI DAR

Imechapishwa na Unknown

Read More

NYUMBA INAUZWA IRINGA

Imechapishwa na Unknown
Nyumba  hii   ipo katika hali nzuri  na  kuna  wapangaji wanaishi ipo Mkimbizi kata ya Mtwivila mjini  Iringa umbali wa Km 4 kutoka barabara kuu ya Iringa-Dodoma 
Sifa  zake> Ina vyumba  vitatu  vya kulala, choo cha  ndani, stoo,jiko na Sebule kubwa>Hati  ipo nyumba   ipo na  vielelezo vyote nyeti vipo>Eneo ambalo  limejengwa ni alisimia 30  ya  uwanja > uwanja una  ukubwa wa Skwea mita 525 >Maji na umeme  upo> Barabara inafika hapa nyumbani Nyumba  hii  ilikukuwa ikiuzwa  Tsh milioni 60 sasa ni TSh 35  maelewano  yapo> Nyumba  ipo  eneo la Mkimbizi Bima  katika Manispaa ya  Iringa jirani na kituo cha  Yatima  cha  Deily Bread Kwa mawasiliano piga simu namba  0754 026 299/0789281030/0712750 199
Read More

NYUMBA INAUZWA

Imechapishwa na Unknown
Nyumba ya kisasa inayouzwa jijini Arusha, ipo maeneo ya Njiro Block CBei maelewano kwa anayeihitaji. Kwa Maelezo zaidi piga simu +255 759 929 271
Ni Nyumba ya kuishi familia na iko vizuri kabisa.Muonekano wake kwa upande wa juuMuonekano wake kwa upande wa pembeni.inavyoonekana Ndani.Bustani.

Read More

nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam

Imechapishwa na Unknown


 Ina nyumba mbili ndani kubwa na ndogo na zote zipo ndani ya fensi na kila moja inajitegemea luku yake na zote mbili system ya maji inafanya kazi safi kabisa na ndani kuna kisima cha maji cha umeme na kuna matanki mawili moja lina lita 5000 na lingine lita 2000 na maji yake yananyweka hayana chumvi.Nyumba kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room kubwa, wakati nyumba ya nyuma ina chumba sebule na jiko pamoja na choo chake.Bei ni shilingi milioni 100 tu. Madalali hawatakiwi tafadhaliUkiihitaji mpigie Msafiri Kesi namba 0657040282
Read More

Jumapili, 19 Juni 2016

TOYOTA PROGRESS Bei: 12,500,000 (Inapungua)

Imechapishwa na Unknown


                         
Bei: 12,500,000 (Inapungua)
Mwaka: 2005/2004
Aina ya Mafuta: Petrol
Umbali: 120,300 km
Injini (cc): 2490
Dhumuni: Kuuzwa
Eneo: Mwanza
Usajili: Imesajiliwa
Rangi: Silver
Transmission: Automatic
Hali ya Gari: Limetumika nchini
Ushuru: Imelipiwa
WASILIANA NA MMILIKI
Jina: Mmiliki
Simu:  0785444770 au 0673441778


Read More

HINO RAINBOW INAUZWA 14,000,000 (Inapungua)

Imechapishwa na Unknown

                                                jiana                                        HINNO
Mwaka: 1989
Aina ya Mafuta: Diesel
Umbali: 140,000 km
Injini (cc): 3800
Dhumuni: Kuuzwa
Eneo: Dar es Salaam
Usajili: Imesajiliwa
Rangi: white
Transmission: Manual
Hali ya Gari: Limetumika nchini
                                                           WASILIANA NA MMILIKI
                                                                    Jina: Omar
                                                                     Simu:  +255719184699


Read More

TOYOTA IST INAUZWA 9,400,000

Imechapishwa na Unknown

Bei: 9,400,000 (Inapungua)
Mwaka: 2005
Aina ya Mafuta: Petrol
Umbali: 89,000 km
Injini (cc): 1,298
Dhumuni: Kuuzwa
Eneo: Dar es Salaam
Usajili: Imesajiliwa
Rangi: Silver
Transmission: Automatic
Hali ya Gari: Limetumika nchini
Ushuru: Imelipiwa
WASILI
Jina: Mmiliki
Simu:  0715 318 418
 
WASILIANA NA MMILIKI









Read More